Sunday, 28 June 2015

Mafunzo ya utafiti na uandishi wa habari


Meneja wa  Shirika la Search for Common Ground(SFCG)  Patricia Loreskar akionekana mwenye furaha alipokutana na wanafunzi wa 80 kutoka shule za sekondari za Ingwe na Bwirege hivi karibuni wakati wakipata mafunzo  kuhusu utafiti na uandishi wa habari